Tupeane uzoefu wa changamoto za mapenzi ya mbali

Tupeane uzoefu wa changamoto za mapenzi ya mbali

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
673
Shkamooni wakubwa!

Niende moja kwa moja.

Je, kuna yeyote anayepitia au aliyepitia kuwa na mahusiano ya mbali mfano mikoa tofauti?

Kipi ni kigumu, na je mnakabili vipi hali za upweke

Karibuni tujadili
 
Changamoto kubwa sana ni uaminifu, nguzo ya mapenzi ya mbali ni mawasiliano bora kati yenu, ukiona mawasiliano yanasua sua ujue tayari hauko peke yako. Ni magumu mno ila kikubwa ni uaminifu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom