Fanya kila linalowezekana muishi pamoja..vinginevyo hakuna mahusiano hapo..!!Shkamooni wakubwa!
Niende moja kwa moja
Je, kuna yeyote anayepitia au aliyepitia kuwa na mahusiano ya mbali mfano mikoa tofauti?
Kipi ni kigumu, na je mnakabili vipi hali za upweke
Karibuni tujadili