Tupendane humu tuache majungu

Nimesoma comment zako mtoa mada,,una-blame wanaume tunawadharau wanawake wa humu especially wewe,, sasa kwanini usijitafakari wewe kama wewe kwanini most of men humu wanakudharau? Sina muda humu tangu nijiunge ila binafsi kuna wanawake nimesha-wasoma ni design ya watu gani depending na wanavyo-participate mijadala mbalimbali...so inabidi ujifanyie research wewe mwenyewe,, why you??? Then change uone kama bado kutakuwa na mwanaume atakayekuwa na perception hasi juu yako.
 
Unique flower mama tafadhali fungua PM ningependa kuianza kampeni ya mapendo.
 
We nae majungu kilasiku, achana na JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…