Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

When I was a kid I used to pray every night for a new bicycle. Then I realised that the Lord doesn't work that way so I stole one and asked Him to forgive me.
 
shemeji Madame B kaka yako asakuta same anakwita nyumbani nimetoka sasa hv khaa kumedoda yaani kuko kimyaaa kama makaburini nenda nenda bhana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaa....!!!. my wife anakupa hi. mkuu twenzetu pm tukachat kidogo.
Kuna ule wimbo sijui kaimba nani labda ni linah unasema "nailazimisha furaha ingawa moyoni nina majonzi....sijui nini anaendelea huko mbele.... wimbo unaitwaje na nani kaimba mkuu?. mia
Mkuu huo wimbo kaimba komando JIDE.
Msalimie wife pia mkuu....ngoja nije pm huko
 
Hili thread mbona naona mwanzo mwisho watu wanaombana msamaha na kusameheana,kuna roho gani leo amewashukia?
 
Back
Top Bottom