Niko poa kabisa huu mtaa kila kitu shwari,vipi mitaa yetu huko,halafu nime-miss sana LadymasaKuna watu nawamiss haswa Mamndenyi hivi hata hushtuki aise 24hrs habari yako bana
Habari za mtaa wa tatu na Ladymassa figganigga mzima mkuu
Kuna watu nawamiss haswa Mamndenyi hivi hata hushtuki aise 24hrs habari yako bana
Habari za mtaa wa tatu na Ladymassa figganigga mzima mkuu
niite BINA jaman lol ni kifupi cha BINAMUbasi chagua niwe nakwita nani
HA HA HA mzee wa mia. nimecheka had basWhen I was a kid I used to pray every night for a new bicycle. Then I realised that the Lord doesn't work that way so I stole one and asked Him to forgive me.
hv mkuu huyo kwenye avatar n wewe??
siyo mimi mkuu,hujawahi kumsikia Cassidy?hv mkuu huyo kwenye avatar n wewe??
Niko poa kabisa huu mtaa kila kitu shwari,vipi mitaa yetu huko,halafu nime-miss sana Ladymasa
mkuu mimi nipo poa sana. asante kwa kunikumbuka mkuu. mia
Mkuu huo wimbo kaimba komando JIDE.hahahahaaaaa....!!!. my wife anakupa hi. mkuu twenzetu pm tukachat kidogo.
Kuna ule wimbo sijui kaimba nani labda ni linah unasema "nailazimisha furaha ingawa moyoni nina majonzi....sijui nini anaendelea huko mbele.... wimbo unaitwaje na nani kaimba mkuu?. mia
Ruttashobolwa najua upo poa,
Sidhani kama tulikwaruzana sana;
Kwangu i am cool, napenda na wewe
uwe na amani my loya.
kuna shughuli zimembana mkuu ila nimeona LIKE yake nadhani yupo anachungulia humuMkuu 24hrs kwani ameenda wapi mpaka umemiss mkuu
Huku shwari mkuu hakuna mbaya kabisa
Pamoja sana mkuu figganigga tuko pamoja sana mkuu
kuna shughuli zimembana mkuu ila nimeona LIKE yake nadhani yupo anachungulia humu
nimsikie wapi mkuu?? ndo kwanza namwona kwakosiyo mimi mkuu,hujawahi kumsikia Cassidy?