Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

kiwatengu aise nakudai ujue achana na habari ya kuomba msamaha huku
Ahadi yako hujatimiza
 
Last edited by a moderator:
My wii kaa ulee kizaygote chetu...hum ndani hali ya hewa ilikuwa si swalama,na hali yako ingekuwa hatare

mushkheri mambo ya miss chit chat yalileta majambo hum

Heeee.....kumbe nlipitwa eeenh! Na mie nnavopenda umagomeni, plus ongezeko la homonz nahisi ningetusi kila mja! Akheri vimenipita!

Karibu nala zangu magimbi leo.....!!!
 
kiwatengu aise nakudai ujue achana na habari ya kuomba msamaha huku
Ahadi yako hujatimiza

Aisee ni kweli mkuu unanidai na nakumbuka vyema!

kuna kijana mmoja wa kina Kiwelu, aliniahidi kunitumia mpaka leo naona kimya.
nitaongea nae tena nione kafikia wapi.
nakumbuka sana mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
jaribu kumgoogle. ni mwanamziki wa marekani huyo. mi napenda ule wimbo wake wa getting no better nadhani alimshirikisha sasha. mia
namkubali sana kwenye ''my drink and my two step''
kabla ya kunywa bia unamshukuru mungu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…