hili shindano likipigwa stop ndo utakuwa miss wa mwisho na wa historia halafu wa milele humu chit chat.
teh teh teh
wewe kakuzoweaeeh! maajabu! kwani mi nshakuambia mara ngapi? na hujachanganyikiwa?
hili shindano likipigwa stop ndo utakuwa miss wa mwisho na wa historia halafu wa milele humu chit chat.
teh teh teh
atakua kama afande sele. mia
basi itakuwa historia
amu analitaka ujue....
vp utaenda mwanza december?