Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

hili shindano likipigwa stop ndo utakuwa miss wa mwisho na wa historia halafu wa milele humu chit chat.
teh teh teh

umeonaeeeh..... Yaani wakipiga stop tu mi nitakuwa na umiss wa milele hilo taji nitazikwa nalo lol!

Cc: Arushaone
 
Last edited by a moderator:
eeh! maajabu! kwani mi nshakuambia mara ngapi? na hujachanganyikiwa?

hee baby jamani unajua yako unaitoaga kwa stail yako naipenda zaid na siwezi kuizoea km mwungwana anavyodai kila siku ni mpya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom