Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

afande sele alikuwaje kwani?

ndo mfalme wa ryhmes aliyopo tanzania. Baada ya yeye kushinda hilo shingano halijarudiwa tena. lilipigwa marufuku na wasanii kuapa kutoshiriki tena. Watu walitaka prif J ndo ashinde lakini siku ya fainali afande aliimba vizuri bila kukosea ukilinganisha na akina prof. j inspector nk. ndo maana afande sele anajiita mfalme sele. mia
 
wakati huo niliamini afande akikosa hiyo tuzo kwa darubini kali basi dogo ditto atachukua kwa track lake ya ''dunia ina mambo''dahh akatolewa kwa kumi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…