Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha mkuu kiwatengu, unataka kunipa kazi ya ukuwadi? yaani nimtongozeshe dada yangu farkhina,kwa mwanaume? huyo jamaa akiniulizia tu namzaba makofi.worry out mwungwana! she is somewhere for you...
talk to Washawasha!! anaweza kutrace popote pale alipo
afande sele alikuwaje kwani?
Nimekuja haya niambie!!Kunani hapa??
wakati huo niliamini afande akikosa hiyo tuzo kwa darubini kali basi dogo ditto atachukua kwa track lake ya ''dunia ina mambo''dahh akatolewa kwa kumi borando mfalme wa ryhmes aliyopo tanzania. Baada ya yeye kushinda hilo shingano halijarudiwa tena. lilipigwa marufuku na wasanii kuapa kutoshiriki tena. Watu walitaka prif J ndo ashinde lakini siku ya fainali afande aliimba vizuri bila kukosea ukilinganisha na akina prof. j inspector nk. ndo maana afande sele anajiita mfalme sele. mia
i saw farkhina somewhere!! kule kwenye picha...
hili jina nalidikiaga tu natamani nimuone huyu wifi farkhina
linogeshe zaidi kwa farkhina wako
isije ikawa ile kusema ''moyo ungekuwa na macho nisingepoteza mda''Hahahahaahha ncheke mie...
isije ikawa ile kusema ''moyo ungekuwa na macho nisingepoteza mda''
mi mpita njia usije ukanibebesha mzigo wa misumariKwa kipi cha ajabu?
Kwa kipi cha ajabu?
mi mpita njia usije ukanibebesha mzigo wa misumari
farkhina weee nakwitaaa
i wish moyo wako uwe na macho ili ujue anakupendajeMwanaume una kelele wewe....ndio nini kuunita kwa bomba?
mhurumie @mwungana,we ndo faraja yakeHahahahaha unaogopa kumbe eeeh...