We acha tu.... laiti wangejua mie hadi wezi waliiba lindoni kwangu wakati niko busy na kampeni...... Ilibaki kidogo kiote nyasi, sema nilimtishia Mhindi kuwa akini fire tu namroga ndo akaniacha...
teh teh teh! kwa kuvunga haujambo dada wa udukuzi...
Hapo hapo pekundu
mwembamba yupo dar mie npo porini
hahahaaa........! Baba V game ilikuwa ngumu mbaya wengine ukiwaomba kura ndo wanapata mwanya wa kukutongozea hapohapo lol!
hahaha useme weye mi nimeombwa acc za fb mara picha mara nikiss kwanza ndo nikupe kura acha kabisa nilikuwa nacheka huko pm hadi basi na wengine hadi sasa bado wananipm wapigeje kura ilikuwa ngumu mno
Kuna watu nawamiss haswa Mamndenyi hivi hata hushtuki aise 24hrs habari yako bana
Habari za mtaa wa tatu na Ladymassa figganigga mzima mkuu
Duuh huko pm kuna mambo!!!!!hahaha useme weye mi nimeombwa acc za fb mara picha mara nikiss kwanza ndo nikupe kura acha kabisa nilikuwa nacheka huko pm hadi basi na wengine hadi sasa bado wananipm wapigeje kura ilikuwa ngumu mno
Ahahahhahahahha kuolewa mara ya pili umewahi kusikia?
Huyo anaota mchana.n
mhhh binamu na huku unanisagia khaaa!!!!!hahhahaaaaaa ndoto za mchana nazo kutimia kwake ni kazi sanaa
Duuh huko pm kuna mambo!!!!!
eti wanataka picha, ili wakuone kama unafaa kuwa miss?
pm zingine unazichunia tu, kwani lazima ujibu zote!!!!!!!??????
Bila hofu rafiki yangu!!
Napenda kuona mambo yakienda sawa..