Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

We acha tu.... laiti wangejua mie hadi wezi waliiba lindoni kwangu wakati niko busy na kampeni...... Ilibaki kidogo kiote nyasi, sema nilimtishia Mhindi kuwa akini fire tu namroga ndo akaniacha...

ha ha ha ha! hapo ulipiga mkwara wa ukweli!!
 
hahahaaa........! Baba V game ilikuwa ngumu mbaya wengine ukiwaomba kura ndo wanapata mwanya wa kukutongozea hapohapo lol!

hahaha useme weye mi nimeombwa acc za fb mara picha mara nikiss kwanza ndo nikupe kura acha kabisa nilikuwa nacheka huko pm hadi basi na wengine hadi sasa bado wananipm wapigeje kura ilikuwa ngumu mno
 
Last edited by a moderator:
hahaha useme weye mi nimeombwa acc za fb mara picha mara nikiss kwanza ndo nikupe kura acha kabisa nilikuwa nacheka huko pm hadi basi na wengine hadi sasa bado wananipm wapigeje kura ilikuwa ngumu mno
Duuh huko pm kuna mambo!!!!!
eti wanataka picha, ili wakuone kama unafaa kuwa miss?
pm zingine unazichunia tu, kwani lazima ujibu zote!!!!!!!??????
 
Duuh huko pm kuna mambo!!!!!
eti wanataka picha, ili wakuone kama unafaa kuwa miss?
pm zingine unazichunia tu, kwani lazima ujibu zote!!!!!!!??????

huwez amini nilijibu zote it was fun kwakweli
 
Back
Top Bottom