asante shem.......nikazanie kumwambia kadili madodo yadondokavyo uwanjani kwetu moyo wangu wazimia walai farkhina niseme neno gani hata unielewe kiumbe mwenzio njoo please my baby tuufaidi ulimwengu
Heeee.....kumbe nlipitwa eeenh! Na mie nnavopenda umagomeni, plus ongezeko la homonz nahisi ningetusi kila mja! Akheri vimenipita!
Karibu nala zangu magimbi leo.....!!!
asante kaka labda wewe atakuelewanaona how deeply the guy fall to you..
accept him!!
hivi kwani hapa cc umeolewa na nani weye?
Naona unataka kuthaminisha teh teh teh
b'coz i love youMwanaume una kelele wewe....ndio nini kuunita kwa bomba?
Sijaelewa ajihisi mwisho wa maisha kivipi?laiti ungelijuaaa wala usingesema uloyasema!!!una mapozi wewe acha tu,huyo uliye naye lazima anajihisi mwisho wa maisha
niite bina jaman lol ni kifupi cha binamu
mmmmh we mbishi bhana.Sijaelewa ajihisi mwisho wa maisha kivipi?laiti ungelijuaaa wala usingesema uloyasema!!!
hahaha useme weye mi nimeombwa acc za fb mara picha mara nikiss kwanza ndo nikupe kura acha kabisa nilikuwa nacheka huko pm hadi basi na wengine hadi sasa bado wananipm wapigeje kura ilikuwa ngumu mno
atakuwa akanana wake! Passion Lady!!
asante shem.......nikazanie kumwambia kadili madodo yadondokavyo uwanjani kwetu moyo wangu wazimia walai farkhina niseme neno gani hata unielewe kiumbe mwenzio njoo please my baby tuufaidi ulimwengu
ndio maana kaomba msamaha kwa wote mliokwazana plz msamehe moyo wake uwe mweupe bila kinyongoKuna member upande wenu alinitolea kauli ambayo sikuipenda.
Nitamchukia daima.
farkhina hebu nieleweshe kama umeelewa!!mmmmh we mbishi bhana.
farkhina nakupenda ujue mbona wanitesa??Wacha yaanguke tu hayo madodo tule lol...
ha ha ha ananiuwa jamaniiihuyu mdada is killing a person some where...
farkhina nakupenda ujue mbona wanitesa??