Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

kiwatengu eti farkhina sii wifi kanikana huku
vipi na ombi la mwungwana umekubali anasononeka mwenzio mwondolee msononeko huo
asante shem.......nikazanie kumwambia kadili madodo yadondokavyo uwanjani kwetu moyo wangu wazimia walai farkhina niseme neno gani hata unielewe kiumbe mwenzio njoo please my baby tuufaidi ulimwengu
 
Last edited by a moderator:
Heeee.....kumbe nlipitwa eeenh! Na mie nnavopenda umagomeni, plus ongezeko la homonz nahisi ningetusi kila mja! Akheri vimenipita!

Karibu nala zangu magimbi leo.....!!!

ahaha bora yamekupita naona leo tunacelebrate ya my kaka
 
hahaha useme weye mi nimeombwa acc za fb mara picha mara nikiss kwanza ndo nikupe kura acha kabisa nilikuwa nacheka huko pm hadi basi na wengine hadi sasa bado wananipm wapigeje kura ilikuwa ngumu mno

hahahaaa ilikuwa shughuli atii
 
duuuuh kumbe shindano
lilileta tafrani?mi huku naingia
kwa msimu best,poleni natumai
mambo yatakua sawa!!!
 
asante shem.......nikazanie kumwambia kadili madodo yadondokavyo uwanjani kwetu moyo wangu wazimia walai farkhina niseme neno gani hata unielewe kiumbe mwenzio njoo please my baby tuufaidi ulimwengu

Wacha yaanguke tu hayo madodo tule lol...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom