Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

najua basi..labda we shemeji mtu ataweza kukwambiaa

my wii ni bora wamedelete maana katika zile thread zote kulikuwa na kauli za kukwazana hata mimi sikupenda kabisa na ndio maana kuna uzi mmoja ulinihusu sikuuchangia kabisa nilikuwa naomba mudawowote ma mods waufute.

Shukrani kwa Moderator aliyefanya hiyo kazi naona amani itarudi sasa......!
 
Last edited by a moderator:
uungwana ni vitendo,,,,,upendo ni kitu chema tena chenye thamani ,,,,,,,,,,,,mlioorodheshwa rudisheni mioyo yenu tuishi kama zamani,,,,,,****one love********

Amen!! maneno mazuri sana haya.!
ubarikiwe sana!
 

mi najua wii haya mambo hamna kusema ni CC wala nini huwa kunakuwa na emotion involved
mie huwa nashangaa mtu anasema inakuwaje mtu anachukia mambo ya nyuma ya keyboard.......
as humans kuna vitu lazima vikukwaze na mie nilijua tu pale na sikukuona kuchangia mle hata

ila yameisha tugange yajayo WII
 

ubarikiwe kwa busara zako murua..
 
my wii............na mie pia nimeshangaaje? kwani kulikuwa na gani humu?

My wii kaa ulee kizaygote chetu...hum ndani hali ya hewa ilikuwa si swalama,na hali yako ingekuwa hatare

mushkheri mambo ya miss chit chat yalileta majambo hum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…