nimefurahi kusikia hivyo shemeji,,,,,,asante kwa kuheshimu ombi langu,,,,,i love you so much:hug:Asante sana.
Nimepokea busu lako shemeji yangu.
Nimemsamehe.
​umeona eeh??? ahsante sana tuombee penzi letu lidumuYaaah! couple yenu itavutia sana...
my dear, hata mi kuna watu nili wa mind ila baadae nikapotezea, naomba usichukulie hasira kiivyo tuwasamehe bure!!!!!!!
​i love you too.............Asante mkaka yangu
love you!
​i love you too.............
Nitakuja Dec na shemeji yako Ben Saanane au Remote.
labda ngoja nimuulize eti shemeji Madame B ulitakiwa maneno gani dhalili???,,,,,,,,halafu dia Heaven on Earth hv ulichopaka hapo jichoni ni nini basi kuna siku nilizidiwa hadi nikayalamba hayo macho walai kumbe duh nikajishtuka nalamba screen ya laptop walai ;;;lol;;;;
​tanteee shem langu........umepita nyumbani leo??
kusameheana ni raha sana!!
amani iwe katikati yetu siku zote!!
ha ha ha ha! kipolitiksi au?