Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

my dear, hata mi kuna watu nili wa mind ila baadae nikapotezea, naomba usichukulie hasira kiivyo tuwasamehe bure!!!!!!!

Usijali Mamie. Japo baadhi walikosa ustaarabu.
Ila yamepita.
Nimeshasamehe Miss
 
labda ngoja nimuulize eti shemeji Madame B ulitakiwa maneno gani dhalili???,,,,,,,,halafu dia Heaven on Earth hv ulichopaka hapo jichoni ni nini basi kuna siku nilizidiwa hadi nikayalamba hayo macho walai kumbe duh nikajishtuka nalamba screen ya laptop walai ;;;lol;;;;

Shemeji jamaniiiiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom