Tupendane Tena!! Tuwe na Umoja Tena....

Asante Mzee.
Nimeona mahali umeamkiwa....
Ni kweli, ukiudhiwa A jua B utacheka.


Mawazo yakifanana basi hakuna hata mmoja uliyewaza kati yenu.

Huu utofauti ndio unaoleta ladha ya maisha.

Madame B
 
Last edited by a moderator:

Mama! amani ni kitu kikubwa sana..
Tuwe wamoja sasa!!
 
Last edited by a moderator:
Je! ingekuwa hakuna makwazo, muda huu tungejadili nini???

.
 

Hata mie ulinikwaza!
Hebu tutafute chaka lolote , ama nyumba inayoendelea kujengwa tukakae tuambizane tunasameheanaje!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…