tupeni hizo habari mbaya kuhusu msanii dimond


fid q,figganigga, nyoshi sio maarufu? mia
 
Mkuu mi nataka nireport abuse. Hilo neno la Kiitaliano umelitumia kwa bahati mbaya ama ulidhamiria?!

Please report kwa kweli..that wasnt necessary and it was uncalled for!!au ndo kuonesha uwezo??
 
Please report kwa kweli..that wasnt necessary and it was uncalled for!!au ndo kuonesha uwezo??

Mbona hilo neno wanaliweka hewani kwenye wimbo wa GWM-Kamua yule D-chief kachana Fanculo Dialo madona aungurumapo simba mcheza nani? Mmetaka noma tunaleta noma kinomanoma! Neno la kawaida tu hilo.
 
hebu mwambie mtaliano

'porokodio fankulo' uone?

Mbona hilo neno wanaliweka hewani kwenye wimbo wa GWM-Kamua yule D-chief kachana Fanculo Dialo madona aungurumapo simba mcheza nani? Mmetaka noma tunaleta noma kinomanoma! Neno la kawaida tu hilo.
 
TAARIFA RASMI...
Taarifa zilizojiri hivi punde zimetanabaisha kuwa jeshi la Polisi nchini kanda maalum ya Dar Es Salam imepiga marufuku mkusanyiko au majadiliano yoyote juu ya kauli aliyoitumia Gang Chomba mapema leo ambayo imezua utata mkubwa kiasi kwamba baadhi ya watu wametishia kumripoti.

taarifa ya jeshi la Polisi imesema kuwa ni marufuku kuijadili kauli hiyo kwa sababu swala hilo liko Mahakamani.

Jokes...
 
Mbona hilo neno wanaliweka hewani kwenye wimbo wa GWM-Kamua yule D-chief kachana Fanculo Dialo madona aungurumapo simba mcheza nani? Mmetaka noma tunaleta noma kinomanoma! Neno la kawaida tu hilo.

Kwa hiyo na yale matusi unayoyasikia kwenye nyimbo za Kimarekani ni halali kuyatamka kw sababu tu yameimbwa kwenye nyimbo?
 
Hivyo vitu vyooote nilivyokutajia vimo humuhumu.
Tuliza kiuno chini utaona tu habari zao.
Hapa umenena vyema, kwa ukweli wa mwenyezi Mungu hata huyu kijana anaitwa Sajuki mimi jina lake ndio nimelifahamu hapa JF baada ya thread za kumuombea michango akatibiwe India, kwahiyo watu wasidhani kusema habari za watu fulani ni kwamba na wewe upo kwenye ujinga huo.

Mimi binafsi Movie za Wanigeria kwangu ni ushuzi mtupu, siangalii movie yoyote zaidi ya movie za Hollywood sasa usitegemee mimi kuwajuwa hao Bongo Movie zaidi ya habari zao kuzipata hapa JF. Hongera sana Muuza Sura maana wewe ndio unatupa habari za hao watu na sisi angalau tunapata moja mbili tatu zao.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Chomba, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Diamond mkali, dogo anaweza...hilo halina ubishi. Dogo habebwi kwa skendo, dogo anabebwa na kazi zake. Na ukiangalia jinsi game lilivyo tight, sio siri dogo amekaza. Kuna kibao walitinga kwenye game na wakapotezwa, lakini dogo bado mbishi. Mpe credit zake bhana...hayo mengine ni utoto tu; kisu alichokuwa nacho Diamond; kibongo bongo ni kisu ambacho alitakiwa kuwa nacho mtu mzima, tena aliyepatia maisha lakini kinavyokuja kudondoka kwa m2 kama Diamond, lazima kimuweushe. Usicheze na hela jomba!
 

Ni TV Talk show mkuu....

Ndiyo mambo ya siku hizi hayo..walianza kina Oprah, wakatengeneza mahela basi kila mtu anajaribu kupita njia hiyo.

Tofauti na talk show nyingine ni yale mazingira...wengine mf Sporah au Mboni Masimba watakaa kwenye makochi fulani hivi kwenye kaukumbi ka kizushi hivi wakati mkasi ni katika maskani(soma vijiwe) za vijana wa kileo yaani saluni...ingekuwa zamani basi ingekuwa chini ya mwembe halafu kuna draft na wasela wengine wamejichora tatoo za nanga(mabaharia watarajiwa) wameegemea vigogo wakipanga mipango ya safari kuanzia kigamboni, ndani ya meli, ubatani(uturuki) mpaka kwenyewe kwa akina pula malaka, msosi please(yaani ugiriki).

By the way...dunia sasa imejaa upuuzi(in your words) na cha kushangaza, wapuuzi(siyo wasomi) ndiyo wenye maisha bora na wanatoa ajira kwa wasio wapuuzi(yaani wasomi)....Kizungumkuti!!!
 
Mkuu simiyu umeondoka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…