Muuza Sura hapa ingekuwa ni habari ya Jay Moe ningechangia usiku na mchana.
Huyu Dogo nakuhakikishia ni Big G, hawa ndio wale wasanii ambao ili wabaki juu ni lazima wazushe skendo.
Huyu Dogo anajizushia skendo ili Miuza Sura na wenzio mpate cha kumfuatilia.
Tazama alivyowaburuza kama watoto wadogo kuanzia kwa skendo ya kumvalisha pete huyo ushuzi mwenzie, kisha akawaokota kuwa wameachana, mara wakarudiana, mara sijui wameonekana Hotel gani, mara sijui wameachana, mara Jockate akaingilia, mara Diamond akakataa kupokea Hela ya wema aliyotunzwa, mara sijui Diamond katua na Helcopter, mara Mama Wema kawachamba maadui wa Mwanawe kwenye TV, mara Wema anadai yeye ndie alikuwa wa Kanumba, mara sijui Wema anapambana na Wolper, Wema mara kanunua Nyumba ya Gharama, mara Diamond agombana na Baba yake, Mara Diamond anaumwa sijui kichocho, mara Wema atangaza kwenda BBA nxt Year...
na wanateka magazeti ya Marangi rangi ili mradi tu habari zao ziwe zinatolewa kwenye magazeti yenu hayo yaliyojaa matangazo ya waganga.
Fanculo
Mpaka mtakaponitumbukiza kwenye Nyumba ya Milele sintawakubali wasanii Wema Sepetu na Diamond.