OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 4, 2023 #141 mng'ato said: Hizi hesabu za kwenye watsap na pdf si za mchezo. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Weka za mchezo
mng'ato said: Hizi hesabu za kwenye watsap na pdf si za mchezo. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Weka za mchezo
T tchaot JF-Expert Member Joined Sep 20, 2018 Posts 800 Reaction score 1,162 May 4, 2023 #142 Miti ni uhai
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 May 9, 2023 #143 Hizi biashara za paukwa pakawa huwa mimi zinanikata stimu.
Wasi Ngaruka New Member Joined Jul 21, 2018 Posts 2 Reaction score 2 May 12, 2023 #144 OKW BOBAN SUNZU said: Hapo ni miti mingapi kwa kila acre? Click to expand... Wakuu,Habari za leo...nawezaje kupata soko la kuuza miti ya milingoti(nguzo)Ina umri wa miaka 9,jumla ya miti ni 4,000 au zaidi.Shamba lipo Njombe,Kifanya.Kwa mawasiliano nipigie 0767320000.
OKW BOBAN SUNZU said: Hapo ni miti mingapi kwa kila acre? Click to expand... Wakuu,Habari za leo...nawezaje kupata soko la kuuza miti ya milingoti(nguzo)Ina umri wa miaka 9,jumla ya miti ni 4,000 au zaidi.Shamba lipo Njombe,Kifanya.Kwa mawasiliano nipigie 0767320000.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 12, 2023 #145 Zemanda said: Hizi biashara za paukwa pakawa huwa mimi zinanikata stimu. Click to expand... Kivipi