Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂

Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂
1726238105612.jpg
 
Kuna siku mchana kulikua na jua Kali hatar, tukashangaa ghafla Kama mvua ya mawe, natoka nje kucheki mvua kubwa ya maharage inanyesha

Wakati bado hatujajua inakotokea ukatua mfuniko wa pressure cooker ktkt ya uwanja, na michuzi ya kutosha

Kabla hatujageukiana na Maza kwa mshangao mtu akagonga hodi, kijana mmoja akasema samahani nimekuja kuchukua mfuniko wangu,

Kaja na fagio, akafagia amebeba na mfuniko, alipoondoka jmn tulilupuka kwa kicheko tukiwa ndani,

Lilikua kundi la wakaka wa geto kwa jirani walikua wanachemsha maharage wakafungua mfuniko kucheki Kama yameiva bila kuepua, gesi yote na mvuke ukainyanyua sufuria ikapaa na maharage yakavuka fensi kuja kwetu
 
Back
Top Bottom