Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaaniπŸ˜‚πŸ˜‚

Mmenikumbusha mbali enzi za heka heka za ujana nikaenda kwa x wangu nikakuta amenunua ricecooker sasa dada wa watu nilikuwa sijawahi hata kuiona. bwana yule akawa sebuleni kwake yuko bize na mambo yake nimewasha jiko la gesi nimepika mboga tena zaidi ya moja zimeiva lakini mchele hupo kwenye rice cooker unaniangalia kila nikifunua naona hupo vile no kuchemka no kufanya chochote. nami naona aibu kumwambia jamaa kama hii kitu sijui kuitumia naenda namchungulia narudi jikoni sijui cha kufanya mpaka nilipopata akili ya kumpigia videocall shoga yangu mmoja ndo nikatoboa sitokaa nisahauπŸ˜›πŸ˜›
 
Mbona kama nyumba ya majani....πŸ€”
Huku kijijini hatunjengi hivyo mazee...😢
 
😝😝😝
 
Sasa unamuonea haya mchumba..? Utakuja kufeli siku moja no video call wala onaona call..😁
 
Lazima Mpishi Aliweka Picture Ya Nabii Ndani Ya Rice Cooker Ndiyo Maana Beche Lipo Full
 
Hatari SanaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…