Tupeni ushuhuda kwa mliowahi kukopo kwenye taasisi za kifedha zinazofuata utaratibu wa Sharia za Kiislam. Utaratibu upoje

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi)
Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla ya shilingi ngapi na kwa muda gani mpaka umiliki uwe wangu.
 
Kama hawana riba wanajiendeshaje
Wanajiendesha kwa kufanya biashara na wewe kwa kitu unachohitaji. Kumbuka riba hupatikana iwapo ni pesa kwa pesa. Yaani unakopa milioni 15 cash urudishe mil 17 cash hiyo ni riba.

Hivo kwa mfano mkuu anahitaji gari la m. 15 na atatoa specifications zake. Hapo bank inakwenda kubagain na wauza magari may be mpaka watauziwa lwa mil 12. Kisha wanakuuzia wewe gari hilo na kukukabidhi gari lako. Kisha wewe utalipia kidogokidogo hiyo 15m so bank itakua bado imepata faida ya m 3. Hii ni biashara imefanyika. Na ndio maana mikopo yote ya mfumo wa kiislam katika mabenk hawatoi cash bali unasema unahitaji nini? Nyumba, vifaa vya ujenzi, kiwanja, gari n.k. Sio mtaalam wa haya ila nimepata kupita na kuulizia huko katika mabenk hayo na kupewa hayo maelezo.
 
Infact hiyo 3 m ndiyo interest
 
Ni kitu kile kile. Ni kujifariji tu ila hiyo 3 ndio riba yenyewe.
 
Kwa maoni yako, hakuna tofauti kati ya interest na profit
Mimi siyo banker au economist au sijasoma accounting au business studies! Mie ni mathematician tu. Kwa sie ambao si wataalam hakuna tofauti kati ya interest na profit maana hata akikopa 100 na kwa mwaka akalipa interest ya 20% maana yake atalipa 20 zaidi ya 100. Ukimtajia mtu kuwa unauza 100 na 20 ni profit yako, vyote Sawa maana at the end utamlipa 120 yule anayeita interest na huyu wa profit utamlipa 120. Mengine ni utapeli tu jinsi ya kumtapeli mtu. Kama Islamic banking ingalisema inakuuzia 100 bila kuongeza 20 hapo ningeikumbatia ingawa sijui pesa ya kuiendesha ingalitoka wapi.
 
Sawa japo virus na bacteria vyote usababisha magonjwa ila vina utofauti.
 
Hii kitu ni tofauti, faida na riba ni vitu viwili tofauti ndio maana nikasema price pia unayouziwa lazima iwe katika range ya soko. Mfano NOAH ya Milioni 8 iwapo utauziwa kwa milioni 15 eti kwa vile umekopa hapo tayari ISLAMIC FINANCE inakataa kuna elements za riba zimeingia ni sawa umekopeshwa milioni 8 kisha unalipa milioni 15. Kinachofanyika katika islamic banking utanunua kwa milioni 8 hiyo hiyo ila bank watabagain at least waipate kwa milioni 7 ili waingize faida.

Ina maana thamani ya kitu ulichokopa ndio hiyo hiyo unayolipia.
 
Chukua na mfano huu kuna watu wanazunguuka mitaani kukopesha bidhaa, wanakwambia mfano chupa ya chai hii ukinunua cash ni 15,000 ila kwa mkopo utalipia 20,000. Ina maana hapa anakuuzia kwa mkopo kwa bei ambayo sio bei yake sokoni kwa vile tu umekopa. Hii inakataliwa katika Islamic finance na inahesabika ni riba. Najaribu kuelezea tofauti
 
Biashara ya kukopesha haiwezi kukosa riba. Islamic financial institutions ambazo zinaprovide loan zinakwepa dhana ya riba, lkn hawawezi kukopesha bila riba.
Mtazamo tu umebadirika lkn faida ni riba. Sema nawasifu riba zao sio kubwa.
 
Ni kitu kile kile. Ni kujifariji tu ila hiyo 3 ndio riba yenyewe.
Ni vizuri tukipitia mikataba yao hasa katika mikopo kama MUDARABAH, MUSHARAKAH na IJARAH. Kwa kifupi wao ni kama duka wanauza bidhaa. Mtu anapofanya biashara ya mafuta ya kula ananunua kwa jumla na anauza kwa faida mfano amenunua lita 5 kwa Tsh 15, 000 na akauza kwa Tsh 18,000 na akapata faida ya Tsh 3,000 hii siyo riba bali ni faida. Riba katika uislamu ni vitu vinavyofanana. Uislamu unasema ukitaka mkopo wa gari unaweza ukatafuta menyewe na ukawapelekea invoice tu na wao watalinunua gari kutokana na invoice yako na Bank kulimiliki gari hilo na mtakubaliana ktk mikataba yao kama Mudarabah na kukuwekea faida labda 12%.

Pia ipo mikopo ambayo Bank inaweza kutoa capital na wewe ukatoa na mkafanya biashara na mkipata hasara mnagawana hasara na kinyume chake. Ukiifuatilia mikopo yao ni mizuri sana hasa ukiifuata dini bila kujiyumbisha utafanikiwa kwani bidhaa ni bora kuliko hela unazopewa, wengi wakipewa hela hawapeleki yote kwenye biashara.
 
Back
Top Bottom