Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Benki nyingi za nchi za kiarabu ndo utaratibu wao. Ngoja waje wataalam wa mabenki.Kama hawana riba wanajiendeshaje
Wanajiendesha kwa kufanya biashara na wewe kwa kitu unachohitaji. Kumbuka riba hupatikana iwapo ni pesa kwa pesa. Yaani unakopa milioni 15 cash urudishe mil 17 cash hiyo ni riba.Kama hawana riba wanajiendeshaje
Infact hiyo 3 m ndiyo interestWanajiendesha kwa kufanya biashara na wewe kwa kitu unachohitaji. Kumbuka riba hupatikana iwapo ni pesa kwa pesa. Yaani unakopa milioni 15 cash urudishe mil 17 cash hiyo ni riba.
Hivo kwa mfano mkuu anahitaji gari la m. 15 na atatoa specifications zake. Hapo bank inakwenda kubagain na wauza magari may be mpaka watauziwa lwa mil 12. Kisha wanakuuzia wewe gari hilo na kukukabidhi gari lako. Kisha wewe utalipia kidogokidogo hiyo 15m so bank itakua bado imepata faida ya m 3. Hii ni biashara imefanyika. Na ndio maana mikopo yote ya mfumo wa kiislam katika mabenk hawatoi cash bali unasema unahitaji nini? Nyumba, vifaa vya ujenzi, kiwanja, gari n.k. Sio mtaalam wa haya ila nimepata kupita na kuulizia huko katika mabenk hayo na kupewa hayo maelezo.
Provided that commodity is under normal price range, 3m is profit and not interest. In Islamic finance interest is the result of cash to cash situation.Infact hiyo 3 m ndiyo interest
Wait a minute. Hii ni sawa na kuita wine ya kanisani si pombe ingawa ina kilevi.Provided that commodity is under normal price range, 3m is profit and not interest. In Islamic finance interest is the result of cash to cash situation.
Kwa maoni yako, hakuna tofauti kati ya interest na profitInfact hiyo 3 m ndiyo interest
Ni kitu kile kile. Ni kujifariji tu ila hiyo 3 ndio riba yenyewe.Wanajiendesha kwa kufanya biashara na wewe kwa kitu unachohitaji. Kumbuka riba hupatikana iwapo ni pesa kwa pesa. Yaani unakopa milioni 15 cash urudishe mil 17 cash hiyo ni riba.
Hivo kwa mfano mkuu anahitaji gari la m. 15 na atatoa specifications zake. Hapo bank inakwenda kubagain na wauza magari may be mpaka watauziwa lwa mil 12. Kisha wanakuuzia wewe gari hilo na kukukabidhi gari lako. Kisha wewe utalipia kidogokidogo hiyo 15m so bank itakua bado imepata faida ya m 3. Hii ni biashara imefanyika. Na ndio maana mikopo yote ya mfumo wa kiislam katika mabenk hawatoi cash bali unasema unahitaji nini? Nyumba, vifaa vya ujenzi, kiwanja, gari n.k. Sio mtaalam wa haya ila nimepata kupita na kuulizia huko katika mabenk hayo na kupewa hayo maelezo.
Mimi siyo banker au economist au sijasoma accounting au business studies! Mie ni mathematician tu. Kwa sie ambao si wataalam hakuna tofauti kati ya interest na profit maana hata akikopa 100 na kwa mwaka akalipa interest ya 20% maana yake atalipa 20 zaidi ya 100. Ukimtajia mtu kuwa unauza 100 na 20 ni profit yako, vyote Sawa maana at the end utamlipa 120 yule anayeita interest na huyu wa profit utamlipa 120. Mengine ni utapeli tu jinsi ya kumtapeli mtu. Kama Islamic banking ingalisema inakuuzia 100 bila kuongeza 20 hapo ningeikumbatia ingawa sijui pesa ya kuiendesha ingalitoka wapi.Kwa maoni yako, hakuna tofauti kati ya interest na profit
Sawa japo virus na bacteria vyote usababisha magonjwa ila vina utofauti.Mimi siyo banker au economist au sijasoma accounting au business studies! Mie ni mathematician tu. Kwa sie ambao si wataalam hakuna tofauti kati ya interest na profit maana hata akikopa 100 na kwa mwaka akalipa interest ya 20% maana yake atalipa 20 zaidi ya 100. Ukimtajia mtu kuwa unauza 100 na 20 ni profit yako, vyote Sawa maana at the end utamlipa 120 yule anayeita interest na huyu wa profit utamlipa 120. Mengine ni utapeli tu jinsi ya kumtapeli mtu. Kama Islamic banking ingalisema inakuuzia 100 bila kuongeza 20 hapo ningeikumbatia ingawa sijui pesa ya kuiendesha ingalitoka wapi.
Nafaka muone na huyu ndugu yanguNi kitu kile kile. Ni kujifariji tu ila hiyo 3 ndio riba yenyewe.
Tofauti kwa daktari ila kwa mgonjwa hakuna tofauti. AnaumwaSawa japo virus na bacteria vyote usababisha magonjwa ila vina utofauti.
Sawa mkuuTofauti kwa daktari ila kwa mgonjwa hakuna tofauti. Anaumwa
Ni vizuri tukipitia mikataba yao hasa katika mikopo kama MUDARABAH, MUSHARAKAH na IJARAH. Kwa kifupi wao ni kama duka wanauza bidhaa. Mtu anapofanya biashara ya mafuta ya kula ananunua kwa jumla na anauza kwa faida mfano amenunua lita 5 kwa Tsh 15, 000 na akauza kwa Tsh 18,000 na akapata faida ya Tsh 3,000 hii siyo riba bali ni faida. Riba katika uislamu ni vitu vinavyofanana. Uislamu unasema ukitaka mkopo wa gari unaweza ukatafuta menyewe na ukawapelekea invoice tu na wao watalinunua gari kutokana na invoice yako na Bank kulimiliki gari hilo na mtakubaliana ktk mikataba yao kama Mudarabah na kukuwekea faida labda 12%.Ni kitu kile kile. Ni kujifariji tu ila hiyo 3 ndio riba yenyewe.