Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia hii kitu?
Iv habari ya mjini ni 900 mtoto mzuri?..npo namtumbo vijijini lakini[emoji188] [emoji188]Vipi
Yeees tumepata kamsemo huku sieIv habari ya mjini ni 900 mtoto mzuri?..npo namtumbo vijijini lakini[emoji188] [emoji188]
Mjini raha sana..iv yule dokta sio kwamba ATM card yake iliisha mda wa matumizi kweli au alikua empty kweli?[emoji125]Yeees tumepata kamsemo huku sie
Walimfanyia roho mbaya tuMjini raha sana..iv yule dokta sio kwamba ATM card yake iliisha mda wa matumizi kweli au alikua empty kweli?[emoji125]
Dah! Ndio mana mimi mjini sipapende labda huanze kunishawishi nitoke huku namtumbo.Walimfanyia roho mbaya tu
Njoo huku kuna vitamuDah! Ndio mana mimi mjini sipapende labda huanze kunishawishi nitoke huku namtumbo.
Kono la kuvunja chaga![]()
Huu ni mkono wenye muscle za kutosha aseee.
Vitamu!? Embu nidadavulie nielewe aisee,huku vitamu ni viazi vitamu na asali,huko mjini kuna zaidi kumbe[emoji124]Njoo huku kuna vitamu
LinauzwaHili ni la kuvunja kitanda kabisa yani. Hahah.