Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Mkuu, sorry for asking kwa nini uliamua kujiita jiwedogo eti...?
Hii ID ninayo itumia sio yakwangu mkuu, hii ni ID ya mwenza wangu "wa ubavu" na sijawahi kumuuliza sababu ya kuamua kutumia jina hili.
 
Hii ID ninayo itumia sio yakwangu mkuu, hii ni ID ya mwenza wangu "wa ubavu" na sijawahi kumuuliza sababu ya kuamua kutumia jina hili.

Kwanza kabisa niseme tu kuwa, hii ID ni yako mkuu. When 2 become 1 mnakuwa tayari chako chake na chake chako.

Well, nadhani "wa ubavu" atakuwepo humu mlete hapa atupe behind the scene ya jiwedogo mkuu.

Thanks.
 
Mimi ninayo ID yangu mkuu, tena niya longtime kitambo. Ila ile ID yangu inayo julikana ni ya hivyo sana....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ebu kwa leo tuishie hapa...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…