Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Mimi ninayo ID yangu mkuu, tena niya longtime kitambo. Ila ile ID yangu inayo julikana ni ya hivyo sana....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ebu kwa leo tuishie hapa...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Aaaaaaah, ustoke NDUKI mkuu coz bado tunakuhitaji hapa.

Hiyo nyingine ndio tunayoitaka aisee fanya japo kuninong'oneza tu mkuu.

[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Aaaaaaah, ustoke NDUKI mkuu coz bado tunakuhitaji hapa.

Hiyo nyingine ndio tunayoitaka aisee fanya japo kuninong'oneza tu mkuu.

[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu ili nyingine ina avatar mbaya iliowahi kusababisha nikakatalina humu.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sakayo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
4bc4f2658db4dcf9db77906d155091fe.jpg
 
236740.jpg

ze-dudu hivi matumbo kama haya yapo kweli au pichaduka hii mana'ke. Khaaaa.
 
Back
Top Bottom