Mimi ninayo ID yangu mkuu, tena niya longtime kitambo. Ila ile ID yangu inayo julikana ni ya hivyo sana....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ebu kwa leo tuishie hapa...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu ili nyingine ina avatar mbaya iliowahi kusababisha nikakatalina humu.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Aaaaaaah, ustoke NDUKI mkuu coz bado tunakuhitaji hapa.
Hiyo nyingine ndio tunayoitaka aisee fanya japo kuninong'oneza tu mkuu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Naona umemfurahia dokta
unauliza yapo wakati unaliona hapo
Huyu mrembo ana mwonekano flani ivi sio wa nchi hii..
Nitampata nitakutag mkuuFanya kuikumbuka mkuu.
Salute kwako my sweetheart
Inavutia sio siriSalute kwako my sweetheart
wazuriHao wengine huwa ni wabaya ee!??
wazuri