Ukweli unauma sana!!Inavutia sio siri
Mkuu Huwa nina strong feelns huyo ndo kapeace mwenyewe........
Naomba unitafutie na mimi avatar nzuri ya kiume niibandikeInavutia sio siri
Ukweli gani baby?Ukweli unauma sana!!
Hapana sio kabisaMkuu Huwa nina strong feelns huyo ndo kapeace mwenyewe........
wazuriHao wengine huwa ni wabaya ee!??
Naona umetuwekea rabaNaomba unitafutie na mimi avatar nzuri ya kiume niibandike
Hii nini?
Uliousema juu ya avatar ya my honeyUkweli gani baby?
Huo mguu wangu wa kulia, naona hauna mvuto kabisaNaona umetuwekea raba
Ngoja niisake
Itakuwa Tende mkuuHii nini?
Mi ni msema kweli ujueUliousema juu ya avatar ya my honey
Heshima kwenu wapendwa.
Naleta uzi huu kwa ajili ya kutupia Avatar za members waliomo humu ambapo unaweza kusema kama inakushangaza, inakufurahisha, Inakuvutia etc. Kwa kuanza naanza na hii hapa chini. Ni Hatarious aisee. Hahah.
[emoji2]
Najua sana ujue!!Mi ni msema kweli ujue
Basi utakuwa cool zaidi ya huyo......Hapana sio kabisa