Ban Mkuu itahusika
Nshamaliza
Bahati yako nimetoka kwenye ibada
Ilikua ni kiu yangu juu yako kipenzi.Abeeeeee
km ndo picha/Avatar ya nini hiyo mkuu?Tunapendezesha kurasa humu tusisahaulike tu nikiweka ya km mimi hata salam hutonipa
Poa Ely miss you
Yaani nikiweka pic ya mtu naekaribiana nae kimfananokm ndo picha/Avatar ya nini hiyo mkuu?
Miss you too kapeace
Mimi nakiigopa hichi KIDUDUHeshima kwenu wapendwa.
Naleta uzi huu kwa ajili ya kutupia Avatar za members waliomo humu ambapo unaweza kusema kama inakushangaza, inakufurahisha, Inakuvutia etc. Kwa kuanza naanza na hii hapa chini. Ni Hatarious aisee. Hahah.
[emoji2]
Habari za siku nyingiAbeeeeee
Kama huyu anaweza kuwa na ufanano na wewe siyo?Yaani nikiweka pic ya mtu naekaribiana nae kimfanano
Hii avatar waga naitizama mala mbili mbili siimalizi haisee!! Usemage kama ni wewe sasa.
Leo nimesali misa ya saa NNE kipenzi..Ilikua ni kiu yangu juu yako kipenzi.
Sijakuona leo kanisani.....[emoji4] [emoji4]
Hapana anaefanania mimi nikiiweka mtanisahau bora hiyo kidogo hata ntapata salamKama huyu anaweza kuwa na ufanano na wewe siyo?
Niko poa kabisa mie, Mungu ni mwema jumapili ni tulivu. Vipi weweHahahahaaa, nimekuelewa mamitto. Are you okay lakini...?
Endeleeni kufurahisha macho wakuu ila sio mimiHii avatar waga naitizama mala mbili mbili siimalizi haisee!! Usemage kama ni wewe sasa.