Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

Hii nini?
Itakuwa Tende mkuu

618a183d6b3ee18df75bc176bf5d904c.jpg


Huu ni mkono wenye muscle za kutosha aseee.
 
Hahahhaha, naona bidada anakimbia ze-dudu aseee. Babu humwambii kitu ameshaamsha popo mnara uko juu kabisa. Umenifanya nikumbuke ule wimbo wa Singeli wanasema "Utatoa hutoi". Hahah.

234418.jpg

ARMs14
Kuna wadada wasiopenda dudu kweli?
 
Heshima kwenu wapendwa.

Naleta uzi huu kwa ajili ya kutupia Avatar za members waliomo humu ambapo unaweza kusema kama inakushangaza, inakufurahisha, Inakuvutia etc. Kwa kuanza naanza na hii hapa chini. Ni Hatarious aisee. Hahah.

446799.jpg


[emoji2]
Mimi nakiigopa hichi KIDUDU
 
Back
Top Bottom