Tupia bei ya unga wa kupikia, sukari na mchele hapo ulipo

Tupia bei ya unga wa kupikia, sukari na mchele hapo ulipo

hussein boxer

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
831
Reaction score
335
Huku pande za moshi unga kilo moja ni 2200, sukari kilo moja ni 3000 na mchele kilo moja ni shilling 2000 hebu tupia na wewe bei ya huko ulipo
 
Moro town mchele 1600-2200, sembe 1900-2000 na sukari 2400-2600/=.
 
Tajeni na sehemu mlipo ili tupate fursa ya kuleta biashara
 
Back
Top Bottom