Here job two
Huyu mkalimani ameuwa asee1.Mzungu: My name is LIVING STONE.
Mkalimani:Jina langu ni JIWE LINALOISHI
Mzungu:I was born in NEW YORK.
Mkalimani:Nilizaliwa katika KIINI KIPYA CHA YAI.
Mzungu:Then I was transferred to JOHANNESBURG for more research,
Mkalimani:Baadae nilihamishiwa katika MFUKO WA YOHANA kwa utafiti zaidi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamaa alikuwa house boy kwa mzungu sasa alitumwa apeleke soup njiani mbwa akambwekea supu ikamwagika.jinsi alivyomueleza mzungu
The dog wuwuu the sahani ngerengere the mchuzi mwaaa
-Ukiji brother sugarcane job will catch fire
-Ukijikakamua kazi itapamba moto
Kazi kweli kweliMkuu hii maana yake nn[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Moja kikwetu ni :Gufuri ,zikiwa nyingi :MagufuriView attachment 862769 Inaitwaje in Swahili
Iiver?Jamaa alilala na Mzungu aitwaye Kassim sasa usiku yule Mzungu akachukua mto wa Bushmen na bushmen hajui kiingereza akasema.
Katelephone Katelephone Don't Smoke my Liver.
Kassim Kassim acha kuvuta mto wangu.
Hii nimeipndaWe waited yooouuu but where ( tumesubiri wee lakini wapi)