Tupia broken english yako hapa

Tupia broken english yako hapa

Huu uzi ungeletwa kuanzia tar 15.11.18 tungeazima mbavu za kuchekea. Maana wenyewe wanakuja uraiani ati
 
-Ukiji brother sugarcane job will catch fire
-Ukijikakamua kazi itapamba moto
 
1.Mzungu: My name is LIVING STONE.
Mkalimani:Jina langu ni JIWE LINALOISHI
Mzungu:I was born in NEW YORK.
Mkalimani:Nilizaliwa katika KIINI KIPYA CHA YAI.
Mzungu:Then I was transferred to JOHANNESBURG for more research,
Mkalimani:Baadae nilihamishiwa katika MFUKO WA YOHANA kwa utafiti zaidi
Huyu mkalimani ameuwa asee
 
Jamaa alikuwa house boy kwa mzungu sasa alitumwa apeleke soup njiani mbwa akambwekea supu ikamwagika.jinsi alivyomueleza mzungu
The dog wuwuu the sahani ngerengere the mchuzi mwaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Comment za humu ni [emoji91][emoji91]
 
Can I take all all...naweza kuchukua yoteyote??
 
You are kitaste = wewe kilaza

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Sha ladder = Shangazi

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Back
Top Bottom