Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Wakuu nawasalimia sana,
Uzi huu ni endelevu kwa ajili ya kuambiana chochote kilichokutokea leo. Mfano:
1. Umepata mchumba au umekutana na mtoto mzuri
2. Umeibiwa
3. Kuna tukio lolote mtaani kwenu
4. Birthday party na invitation ya harusi
5. Umepata kazi
6. Unaumwa
7. Una furaha
8. Umeshinda biko
9. Umepiga mkwanja na madili mengi
10. Umetoka out nk.
Jimwage kwa tukio lolote ulilokutana nalo leo. Uzi endelevu
Binafsi leo nimerudishiwa deni langu nililolidai miaka 5 hivu.Kama laki tano kwa hiyo weekend kwangu ni nzuri