Tupia chochote ulichokifanya leo

Tupia chochote ulichokifanya leo

Sijawahi kuelewa mnaipendea nini[emoji134][emoji134]
Kwakweli hata mm aikuipenda mwanzo ila Nilipofika s3 nimeipenda.. nimevutiwa zaidi na Dialogue iliyotumika pia mpangilio wa matukio. Japo stori inachanganya mwanzoni..
 
Daaah!! Mimi ndo sijawahi ona hata episode moja
 
Back
Top Bottom