HahahahaSiwajui
Mkuu una memoryDogo huyu wiki kama tatu zilizopita nilikutana naye Airport Dar es Salaam anasindikizwa na mama yake.
Ilikuwa ni Ijumaa Mchana mida ya saa nane hivi.....
Anependa sana kuvaa miwani na jinsi zinazobanaa sana mapaja.....
Halafu ni Momaza Boy sana......
πππππ
Mi nawafahamu tutakuja kudai chetuDuh!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]usikondee mme nipo kwa ajili yakooNilikuwa nshaanza kukonda... Mara paap! Kitambi hichooo[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]