Tupia clip yako ku show love!

Tupia clip yako ku show love!

Dogo huyu wiki kama tatu zilizopita nilikutana naye Airport Dar es Salaam anasindikizwa na mama yake.
Ilikuwa ni Ijumaa Mchana mida ya saa nane hivi.....
Anependa sana kuvaa miwani na jinsi zinazobanaa sana mapaja.....
Halafu ni Momaza Boy sana......
😀😀😀😀😀
Mkuu una memory
 
Nilikuwa nshaanza kukonda... Mara paap! Kitambi hichooo[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]usikondee mme nipo kwa ajili yakoo
 
Back
Top Bottom