Tupia clips na picha za mishemishe baada ya Derby Simba vs Yanga

Wadau tupieni Alichosema Manara baada ya Mechi maaana maneno yake ni Mshale wa sumu kwa Utopolo
 
Nyonzima ana nidhamu gani kubishana na refa bila sababu ya msingi, kuchelewa kuripoti kambini hivi unasahau Okwi alivyomfokea kwenye mechi alivyopata kadi kipumbavu
 
Nyonzima ana nidhamu gani kubishana na refa bila sababu ya msingi, kuchelewa kuripoti kambini hivi unasahau Okwi alivyomfokea kwenye mechi alivyopata kadi kipumbavu
Sikujua kuwa siku hizi naye amepata kiburi lakini alikuwa na nidhamu sana mwanzoni.
 
Sikujua kuwa siku hizi naye amepata kiburi lakini alikuwa na nidhamu sana mwanzoni.
Rejea toka yuko yanga kabla ya kuja simba kuna kipindi yanga walitaka kumpiga faini kubwa sababu ya usumbufu mpaka akaomba msamaha simba msimu wa kwanza hakucheza. Kipindi kirefu sababu hizohizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…