Tupia clips na picha za mishemishe baada ya Derby Simba vs Yanga

Tupia clips na picha za mishemishe baada ya Derby Simba vs Yanga

Magoli gani hayo wakati magoli yenyewe yalifungwa kwa mateke... Kwanza usinifokeeee
 
Sawa Mtani, afadhali una maneno ya kujifariji mazuri kama hayo, inapunguza msongo wa mawazo.

Morrison mmemsamehe? Nasikia baada ya kupanda mpira, sasa hivi amepanda vichwani.
We sema maneno ya kujifariji tu.

Aaah!! Mtani mi hata sitaki kujua sarakasi zake zinaendeleaje kwa kweli. Mana huwa najikuta natamani ningekuwa wale viongozi sababu naona kama wanamchekea chekea tu.
 
We sema maneno ya kujifariji tu.

Aaah!! Mtani mi hata sitaki kujua sarakasi zake zinaendeleaje kwa kweli. Mana huwa najikuta natamani ningekuwa wale viongozi sababu naona kama wanamchekea chekea tu.

Hilo fupa hangaikeni nalo, ni la kwenu.

Sisi na wadogo zetu Namungo tunasubiri mashindano ya kimataifa yaanze tukafanye yetu.
 
Back
Top Bottom