Mtani ukisikia shabiki mandazi ndo hao sasa. ππ
Ndevu za karantin
Niyonzima yupi, huyu huyu mnyarwanda Haruna?...Niyonzima ndiye mchezaji wa nje ambaye amekuwa anaonyesha nidhamu sana; ...
Samahani; sikujua kuwa naye siku hizi ana mikwara. Nilimtathmini zamani alipoanza kuchezea Yanga alikuwa na nidhamuNiyonzima yupi, huyu huyu mnyarwanda Haruna?
Mpaka pale mtakapoona goli nne si kitu ajabu. ππMtani hivi kukupeni pole ya kipigo mwisho ni lini?
Ukitaka kuzungumzia uchaguzi nenda jukwaa la siasa huku ni.mambo ya 4g hanari ya mjini na jinsi chama na Morison walivyowachachafuaSasa hivi suala kubwa lililopo mbele yetu ni suala la uchaguzi mkuu hivyo suala la Mpira wa Simba na Yanga tunaliweka kando hadi msimu ujao baada ya Uchaguzi
Hawa jamaa hawaendi popote kwanza bado kuna corona, na hata wakishiriki ni round ya kwanza chali wanarudi kupambana na wakina kagera sugar na yanga
Mtani matanga mmeweka siku ngapiMpaka pale mtakapoona goli nne si kitu ajabu. ππ
#Liverpoolnayealizichezeahizolakiniupokimyaaa.
Mtani niache hebu. ππMtani matanga mmeweka siku ngapi
Mpaka pale mtakapoona goli nne si kitu ajabu. ππ
#Liverpoolnayealizichezeahizolakiniupokimyaaa.
Hivyo na nyie mtakuwa mnayafanyia birthday. πππHahaha, mpaka tutakapokutana tuwafunge tena.
Kama goli lenu moja lilivyodumu.
Hivyo na nyie mtakuwa mnayafanyia birthday. πππ
Tuombe uzima Mtani na pia nikukumbushe si kila siku inakuwaga jumapili.Birthday ni tutakapokutana tuwachakaze zingine, sasa hivi tumeshagundua hakuna kuwachekea chekea.
Tuombe uzima Mtani na pia nikukumbushe si kila siku inakuwaga jumapili.