Iyo malebo noma sana by pst munishMabibo choir.....sauti halafu kuna kitu Malebo
Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Bonge moja la songAgape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live)