Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Mi naomba mwenye jimbo hizi... Au nielekezwe ninakoweza kuzipata:
Naioth Prophetical singers - Mapambazuko ( hawa waliimba ule wimbo wa unangoja nini)
Kinondoni Revival Choir - Wrong number ( hawa waliimba wimbo wa dini iliyo safi, ambao Kwa sasa hivi wameutolea remix)