Tupia Gospel kali hapa

Tupia Gospel kali hapa

Mi naomba mwenye jimbo hizi... Au nielekezwe ninakoweza kuzipata:

Naioth Prophetical singers - Mapambazuko ( hawa waliimba ule wimbo wa unangoja nini)

Kinondoni Revival Choir - Wrong number ( hawa waliimba wimbo wa dini iliyo safi, ambao Kwa sasa hivi wameutolea remix)
 
Ukizipata mkuu hizi nisaidie nazitafuta sana na mimi
 
Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Shetani alikutanisha Baraza Sunday School Choir, Mwalimu Mwaijumba akiongoza jahazi
 
Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Ugandan:

Attachments

Indumiso Ye Tende - Angingedwa

Source : Ngonyama Music
 
Back
Top Bottom