Tupia hapa kitabu kinachoweza kusaidia wajasiriamali na watafutaji

BUSARA ZANGU

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
779
Reaction score
1,269
Habari za kazi wakubwa

Kutokana na kuona watu mbalimbali wakiomba kurushiwa/kupatiwa vitabu mbalimbali vinavyotoa mafunzo na motisha kwa watafutaji wa maisha hususani wale Wajasiri katika kutafuta mali, nimeona ni vyema tuwe na uzi wetu hapa ili kila kitabu chenye madini kitakachohitajika kiweze kupatikana hapa.

Inawezekana kuna vitabu vingi na vizuri umeshavisoma lakini pia kuna uwezekano vipo vingi ambavyo bado hujawahi kuvisoma, pengine hata kuwahi kuvisikia. Kwahiyo mimi kupitia wewe nitaweza kuvisoma vitabu ambavyo sijawahi kuvisoma, na wewe kupitia yule ukapata faida ya kukijua kile ambacho ulikuwa hukijui.

Mimi ninaanza na vitabu vifuatavyo
 
Attachments

Weka na vya Kiswahili sasa
Mkuu kuna Vitabu vichache vya lugha ya Kiswahili vyenye hayo maudhui. Hata hivyo mimi sinavyo. Kama kuna watu wanavyo pia wanaalikwa waliviweke humu ili wote tufaidike navyo
 
Hongera sana Busara Zangu. Hii Maneno napendaga. Vijana Someni vitabu acheni muda kuwaza mapenzi tuuuu!!
 
Pamoja mkuu. Kwenye Vitabu kuna hazina kubwa sana, ni kwamba watu hawajui tu
 
Nashukuru sana mkuu. Haya ni mambo mazuri kukutia hamasa na hata kukufungua kichwa.

Ila mkuu mbona nikidownload nashindwa? Nimedownload think and grow rich kwanza, nikafanikiwa, nikitaka kudownload hvyo vngne kinarejea kile kile cha think and grow rich.

Ahsante
 
Log in kwa kutumia Chrome vinakubali hata mimi imenifanyia hivyo kwa jFapp
 
Back
Top Bottom