BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 779
- 1,269
Habari za kazi wakubwa
Kutokana na kuona watu mbalimbali wakiomba kurushiwa/kupatiwa vitabu mbalimbali vinavyotoa mafunzo na motisha kwa watafutaji wa maisha hususani wale Wajasiri katika kutafuta mali, nimeona ni vyema tuwe na uzi wetu hapa ili kila kitabu chenye madini kitakachohitajika kiweze kupatikana hapa.
Inawezekana kuna vitabu vingi na vizuri umeshavisoma lakini pia kuna uwezekano vipo vingi ambavyo bado hujawahi kuvisoma, pengine hata kuwahi kuvisikia. Kwahiyo mimi kupitia wewe nitaweza kuvisoma vitabu ambavyo sijawahi kuvisoma, na wewe kupitia yule ukapata faida ya kukijua kile ambacho ulikuwa hukijui.
Mimi ninaanza na vitabu vifuatavyo