The25824
Member
- Sep 8, 2024
- 20
- 82
Ohaaaaa,
Kwenye mapenzi kuna vingi vinanogesha ,Mojawapo ni suala la kuambiana maneno matamu.
Huenda yakawa kwa maneno ya kusikika au hata ya kuandikika.
Najua si kila mmoja wetu ni mwepesi wa kutunga na kuyaweka vema maneno matamu yatakayomfurahisha ampendae.
Acha kumuita mume au mke jina la mwanae kila siku utasema attendance ya shuleni.
Siku nyingine tupia vimaneno vilaini vitomuamsha hisia zake mwilini.
Yale yatokupendeza yakopi umtumie wako mwandani.
Haya tufunguke wakuu.
Mimi;
👇👇👇👇
#1
Nashukuru mwandani ,mie kunipenda
Nakiri silioni ,hata moja lilopinda,
Moyoni burudani,kukuona wangu nyonda,
Mipresha pomoni,sihtaji uje enda.
Baki nami wangu honey,Nifurahi Maishani.