Commander In Chief
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 315
- 719
Mkuu nahisi kama umeenda chaka hapa au mimi ndio sijaelewa labda. Can you elaborate more please?
Mkuu naamini hapa panapokuchanganya ni hapa mwisho, Si ndio?Mkuu nahisi kama umeenda chaka hapa au mimi ndio sijaelewa labda. Can you elaborate more please?
Nimekusoma vizuri sana mkuu.Mkuu naamini hapa panapokuchanganya ni hapa mwisho, Si ndio?
Km ndio basi angalia vzr
Kuna Sanitizer = 20 + ((Dr = 5 + Gloves 2, (moja ina thamani ya mbili) = (2*2=4)) + Sanitizer = 20) = 49 * ((Glove 1) = 2) = 98.
Tulia vzr Sidhn km nimekosea.
Kumbuka Huyo Dr. hapo kavaa gloves na ameshika sanitizer tofauti na picha za nyuma, vyote hivyo tunavijumlisha maana huko juu tumevijumlisha.
Ahaa, Mkuu sasa hapa ndio Umenishtua, Nilisahau kbsa hiki kitu, yan mpk nimejicheka..Nimekusoma vizuri sana mkuu.
Lakini In Mathematics tunafata BODMAS rule, so..
20+[(5+4+20)×2]=78
Seems like you did this way;
(20+5+4+20)×2=98
Vipi na hapa mkuu?
Pamoja sana mkuu [emoji106]Ahaa, Mkuu sasa hapa ndio Umenishtua, Nilisahau kbsa hiki kitu, yan mpk nimejicheka..
Big Up kaka.
Huyu mahikaji hapo mwisho kavaa groves viatu na miwani hujavionaa
DestinySwali langu lahitaji tafakuri kidogo..
Je maisha ya mwanadamu yanategemea Fate au Destiny?
Vyote hapo hivyo vipo calculated bossHuyu mahikaji hapo mwisho kavaa groves viatu na miwani hujavionaa
Swali langu lahitaji tafakuri kidogo..
Je maisha ya mwanadamu yanategemea Fate au Destiny?
Mm swali langu hili hapaa..
Huyu Mwanaume Mwenzetu Mpambanaji, anapaswa kufanya nini hapa,
Sehem km hzi ndio za kuchangamsha akili la sivyo watu wanaanika maturubai😝😝😝😝View attachment 1417597
Fasihi ni suruali Isiyo na mifuko ya nyuma. Jadili (alama 15)Fasihi ni ukoko na mwandishi ni kijiko, kwangua. (Maksi 10)
29 hawa wenzangu sijui wamesoma hesabu gani maana majibu yao🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
042
very geniusWe mtoa mada unajua majibu au ndio unatafuta kwetu?, isije ikawa Mwanao kakuletea hapo unamzuga kumbe unatusubir sisi..
Any way
1 = 042(ukitaka maelezo nakupa)
2 View attachment 1417490
Toa Jingine.
That's the answer. I know how to do It.143547,
Solution ukiitaka ipo.