TUPIA HAPA : Swali, Puzzles n.k Watu Wachangamshe Akili

TUPIA HAPA : Swali, Puzzles n.k Watu Wachangamshe Akili

Mkuu nahisi kama umeenda chaka hapa au mimi ndio sijaelewa labda. Can you elaborate more please?
Mkuu naamini hapa panapokuchanganya ni hapa mwisho, Si ndio?
Km ndio basi angalia vzr

Kuna Sanitizer = 20 + ((Dr = 5 + Gloves 2, (moja ina thamani ya mbili) = (2*2=4)) + Sanitizer = 20) = 49 * ((Glove 1) = 2) = 98.

Kumbuka Huyo Dr. hapo kavaa gloves na ameshika sanitizer tofauti na ilivyo picha za nyuma, vyote hivyo tunavijumlisha maana huko juu tumevijumlisha.
 
Mkuu naamini hapa panapokuchanganya ni hapa mwisho, Si ndio?
Km ndio basi angalia vzr

Kuna Sanitizer = 20 + ((Dr = 5 + Gloves 2, (moja ina thamani ya mbili) = (2*2=4)) + Sanitizer = 20) = 49 * ((Glove 1) = 2) = 98.

Tulia vzr Sidhn km nimekosea.

Kumbuka Huyo Dr. hapo kavaa gloves na ameshika sanitizer tofauti na picha za nyuma, vyote hivyo tunavijumlisha maana huko juu tumevijumlisha.
Nimekusoma vizuri sana mkuu.

Lakini In Mathematics tunafata BODMAS rule, so..
20+[(5+4+20)×2]=78

Seems like you did this way;
(20+5+4+20)×2=98

Vipi na hapa mkuu?
 
Huyu mahikaji hapo mwisho kavaa groves viatu na miwani hujavionaa
Vyote hapo hivyo vipo calculated boss

Gloves 2 = 40,
Viatu = 20,
Miwani = 2,
Yeye = 5
Total = 67

Malizia Kiatu na zidisha kwa miwani.
 
Mheshimiwa waziri majibu (In someone's voice)
Screenshot_20200412-211936.jpeg
 
Back
Top Bottom